Posts

Nguvu ya maombi

TAMBUA NGUVU KUU ILIOPO KATIKA MAOMBI Ndugu zangu ninawasalimu katika jina La bwana wetu Yesu kristo  Leo tutaangalia kwa kifupi nguvu kuu iliyopo katika maombi.           Nidhahiri kuwa mambo yote yanawwzekana kupitia maombi na hakuna jambo lolote Lisilowezekana kwake .Luka 1:37- kwamaana hakuna jambo lisilo wezekana kwa Mungu    Maombi ni kitendo cha mtu kuwasiliana na Mungu na kumweleza   mahitaji yake .     ZIFUATAZO NI FAIDA TUZIPATAZO KUPITIA MAOMBI               1:Tunapata ondoleo la dhambi 1yohana 4:9 Tukiungama na kutubu dhambi zetu,yeye ni mwaminifu na wa haki hutusamehe na kutusafisha na udhalimu wote.               2:Kupitia maombi tunapewa mahitaji yetu.mathayo 7:7          Ombeni nanyi mtapewa.Yohana 15:6 .               3:Hutupa matumaini juu ya Yale yaliyotusumbua kwa mu...