Nguvu ya maombi
TAMBUA NGUVU KUU ILIOPO KATIKA MAOMBI
Ndugu zangu ninawasalimu katika jina La bwana wetu Yesu kristo
Leo tutaangalia kwa kifupi nguvu kuu iliyopo katika maombi.
Nidhahiri kuwa mambo yote yanawwzekana kupitia maombi na hakuna jambo lolote
Lisilowezekana kwake .Luka 1:37- kwamaana hakuna jambo lisilo wezekana kwa Mungu
Maombi ni kitendo cha mtu kuwasiliana na Mungu na kumweleza
mahitaji yake .
ZIFUATAZO NI FAIDA TUZIPATAZO KUPITIA MAOMBI
1:Tunapata ondoleo la dhambi 1yohana 4:9
Tukiungama na kutubu dhambi zetu,yeye ni mwaminifu na wa haki
hutusamehe na kutusafisha na udhalimu wote.
2:Kupitia maombi tunapewa mahitaji yetu.mathayo 7:7
Ombeni nanyi mtapewa.Yohana 15:6 .
3:Hutupa matumaini juu ya Yale yaliyotusumbua kwa muda
mrefu. Wafilipi 4:6- msijisumbue kwa neno lolote Bali kwa kila
Neno kwa kusali,kuomba pamoja na kushukuru .
4:Tunapata ulinzi wa Mungu na kuizima mishale ya muovu shetani
Waefeso6:16, kumbukumbu 28:7.

Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa neno zuri
ReplyDelete